Halloow habar Natumai ni wazima Leo ningependa kushare nanyi mada muhimu sana katika ujasiriamali : Jambo la kwanza ujasiriamali ni nn? Kwa wanauchumi wote wanamwona mjasiriamali ni mtu ambaye yupo tayar kuthubutu na kufanya jambo la kutatua matatizo/tatizo la jamii inayomzunguka. Kuna mambo makuu matano ambayo mjasiriamali anatakiwa kuwa nayo nayo ni : 1)awe na wazo 2) awe na lengo 3)awe na uthubutu 4)awe mbunifu 5)awe mtu wa kujifunza kwa kusoma vitabu,semina mbalimbali na kujifunza kwa waliofanikiwa . Hayo ndo mambo muhimu mjasiamal anayotakiwa kuwa nayo kabla hajaanza biashara yake Kwa hayo na mengine mengi yanayohusiana na ujasiriamal , Coment namba yako hapa nitakuad kwa group yangu ya watsup huko nitakufundisha mambo mengi sana ili uweze kufanya biashara yenye mafanikio Na usiache kutembelea blog hii Ni mm mwenye kusaka maendeleo yako Sofia Mutashobya Simu namba 0753637565 &qu
Posts
Showing posts from October, 2018
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJASIRIAMALI
- Get link
- X
- Other Apps
Karibuni tena kwenye muendelezo wa mada inayohusiana na ujasiriamali ,na ni mambo gan anayotatakiwa kujifunza kabla hajaamuua kuwa mjasiriamal , Kuna mambo 7 muhimu anayotakiwa kujifunza kabla ya ujasiriamal nayo ni : 1)Jinsi ya kuwasiliana na watu wajue nn unafanya 2)Ujifunze jinsi ya kuuza bidhaa yako ww mwenyewe 3)Ujifunze jinsi ya kuwahudumia wateja wako 4)Jinsi ya kutunza muda wako 5)Jinsi ya kubajet pesa au ulichonacho(tumia kidogo ili upate kikubwa 6)Jinsi ya kuongeza mtandao wako 7)Chagua marafiki(punguza marafiki wasiokuwa na manufaa kwako Vivyo ndivyo vigezo muhimu sana ww kama mjasiriamali By sofia mutashobya