Halloow habar
  Natumai ni wazima
   Leo ningependa kushare nanyi mada muhimu sana katika ujasiriamali :
 Jambo la kwanza ujasiriamali ni nn?

Kwa wanauchumi wote wanamwona mjasiriamali ni mtu ambaye yupo tayar kuthubutu na kufanya jambo la kutatua matatizo/tatizo la jamii inayomzunguka.

Kuna mambo makuu matano ambayo mjasiriamali anatakiwa kuwa nayo nayo ni :

1)awe na wazo
2) awe na lengo
3)awe na uthubutu
4)awe mbunifu
5)awe mtu wa kujifunza kwa kusoma vitabu,semina mbalimbali na kujifunza kwa waliofanikiwa .
 Hayo ndo mambo muhimu mjasiamal anayotakiwa kuwa nayo kabla hajaanza biashara yake
 Kwa hayo na mengine mengi yanayohusiana na ujasiriamal ,
     Coment namba yako hapa nitakuad kwa group yangu ya watsup huko nitakufundisha mambo mengi sana ili uweze kufanya biashara yenye mafanikio
    Na usiache kutembelea blog hii
      Ni mm mwenye kusaka maendeleo yako
               Sofia Mutashobya
                    Simu namba 0753637565
                         """"

Comments

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE