Posts

Showing posts from August, 2019

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI YA KUFUNGA KWA KAMBA DIE_TIE

Image
JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI YA KUFUNGA KWA KAMBA(DIE&TIE)  Jinsi ya kutengeneza batiki ya kufunga kwa kamba hatua kwa hatua๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Andaa kitambaa cha batiki kisha kitandike juu ya meza au sakafu  kisha kunja kitambaa hicho kulingana na aina ya mauwa unayoyataka kisha kifunge kamba kulingana na jinsi ulivyokunja Chovya kwenye rangi kitambaa hicho kulingana na mauwa unayoyataka Kiache kwa dakika 5-10 kisha fungua kamba anika kivulin kwa dakika 5-10 Fua kitambaa hicho anika kivulin had kikauke  kisha piga pas na kitakuwa tayar kwa matumiz Baadhi ya mauwa yatokanayo na batiki ya kufunga kwa kamba: Nyota Kashata Sambusa Mji kati Misalaba Misalaba ndani ya drafti Miraba Mbavu    Malighafi zinazotumika kutengeneza batik Kitambaa kiwe cha pamba Sodium hydrosulfet Caustic soda Rangi Mkas Kamba Maski Gloves Jinsi ya kuchanganya rangi Andaa chombo cha plastic kisha tia Costic soda vijiko vitatu vya chakula Sodium hydrosulfet vijiko 3 vya chakula Ran

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI KWA NJIA RAHISI UKIWA  NYUMBANI KWAKO Mafuta  ya  nazi Ni  bidhaa  ambayo  hutokana  na  nazi  hufanya  kazi  nyingi  sana  mwilini ikiwemo kuondo  makovu  na  mabaka  na  kuacha  mwili  ukiwa  laini  na  bila  mafuta  na hutumika sana mara  nyingi  katika kutengenezea sabuni  za  vipande. MAHITAJI 1: Sufuria hutumika kwa ajili  ya kupikia mafuta yako  jikoni. 2: Blenda  au  kibao cha  mbuzi  kwa  ajili  ya  kukunia  nazi  zako  ili  uweze  kupata tuwi la nazi. 3: Chujio  kwa  ajili  ya  kuchuja  machicha  ya  nazi  na  kuweza  kupata  tuwi  likiwa safi  kabisa. 4: Jiko  lenye  moto  hili  hutumika  kwa  ajili  ya  kuchemsha  mafuta  yetu  ili yajitenge  na maji. 5. Friji  kama lipo  kwa ajili  ya kugandishia . MALIGHAFI  1: Nazi  safi  na nzima. 2: Maji  Jinsi ya kutengeneza 1. Kwanza andaa nazi zako zikiwa safi. 2. kisha kuna nazi zako zote  kwa kutumia kibao cha mbuzi au kama una blenda unaweza ukatumia kupata nazi ili