Hay Jina langu naitwa Sofia Mutashobya , Ninawasaidia wajasiriamali watarajiwa jinsi ya kuanzisha viwanda majumbani mwao vyenye kutengeneza bidhaa mbali mbali kama hizi zifuatazo: Sabuni za mche,sabuni ya unga,sabuni za kuoshea tiles,masinc ya choo,losheni,shampoo,sabuni za magadi ,sabuni za usafi za maji,kufulia ,kunawia mikono ,tishet na aina zote za batiki .Pamoja na mbinu za ufugaji bora wa kuku kisasa na kibiashara ,chanjo za magonjwa ya kuku na ratiba zake ili kuweza kuweza kujiajiri wenyewe na kujitengenezea kipato Kama unapenda kupata mafunzo haya coment hapa chini neno UJASIRIAMALI nkutumie link ya kujiunga na mafunzo haya Mafunzo ni bure kabisa Karibu sana
Posts
Showing posts from December, 2018
JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA DENGU
- Get link
- X
- Other Apps
JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA DENGU MAHITAJI 1. Unga wa dengu ½ kilo 2. Binzari nyembamba ½ kijiko cha mezani 3. Unga wa pilipili manga kijiko 1 cha chai 4. Unga wa mchele ¼ kilo 5. Chumvi kiasi 6. Mafuta ya alizeti ½ lita 7. Baking powder JINSI YA KUPIKA 1)Changanya unga wa mchele pamoja na ule wa dengu. Kisha chukua nyunyuzia baking powder na baadaye chumvi. Weka unga wa binzari nyembamba na pilipili manga. 2) Baada ya hapo changaya vizuri na kisha weka maji kidogo kidogo huku ukukanda hadi liwe donge gumu kama unavyofanya kwenye maandazi. Baada ya hapo weka donge lako pembeni na funika. Acha likae kwa muda wa nusu saa hadi saa moja. 3)Baada ya hapo chukua karai la mafuta weka jikoni acha hadi mafuta yapate moto kabisa. 4) Kisha chukua mashine ya kupikia tambi na weka donge lako. Kandamiza taratibu huku ukiruhusu minyororo ya tambi kuingia kwenye mafuta yaliyo jikoni. 5)Weka kiasi kiasi huku ukikaanga. Acha mpaka zitakapokuwa zimeiva na kuk