Hay

  Jina langu naitwa Sofia Mutashobya ,
    Ninawasaidia wajasiriamali watarajiwa jinsi ya kuanzisha viwanda majumbani mwao vyenye kutengeneza bidhaa mbali mbali kama hizi zifuatazo:  Sabuni za mche,sabuni ya unga,sabuni za kuoshea tiles,masinc ya choo,losheni,shampoo,sabuni za magadi ,sabuni za usafi za maji,kufulia ,kunawia mikono ,tishet na aina zote za batiki .Pamoja na mbinu za ufugaji bora wa kuku kisasa na kibiashara ,chanjo za magonjwa ya kuku na ratiba zake ili kuweza kuweza kujiajiri wenyewe na kujitengenezea kipato 
   
Kama unapenda kupata mafunzo haya coment hapa chini neno UJASIRIAMALI  nkutumie link ya kujiunga na mafunzo haya

Mafunzo ni bure kabisa 
        Karibu sana

Comments

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE