Posts

Showing posts from July, 2019

JIANDAE KUFANYA MAMBO MAKUBW

Image
Je wewe ni Mjasiriamali mwenye ndoto za kufika mbali zaidi kwa kuteka masoko na kukabiliana na  ushindani wa kibiashara katika utengenezaji wa  bidhaa bora zenye viwango?? Je, unatamani kuuza bidhaa zako kwenye supermarket na mitandao ya kijamii na hujui nini cha kufanya Je, unatamani kujifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa za viwandani kama vile Sabuni za miche,sabuni za usafi za maji Dawa za chooni Jiki Shampoo Losheni Mafuta ya mgando Sabuni za magadi(mawingu) Sabuni ya unga Tiles cleaner Sabuni za kuogea Hand wash gel Mshumaa Sabuni za maji za  kufulia Sabuni ya kusafishia masinki yaliyofubaa. Chaki Mishumaa Aina zote za batiki nk Kitabu hiki ni jibu lako jipatie nakala yako ya Kitabu cha MJASIRIAMALI MJASIRIAMALIWA   kina mbinu zote muhimu za kukufikisha unapotamani kuwa. Ndani yake utaweza kuzitambua malighafi moja baada ya nyingine, jinsi zinavyotengenezwa, matumizi yake na jinsi ya kujilinda. Pia utaweza kujifunza jinsi ya kutengeneza bid

JINSI YA KUANZISHA KIWANDA NYUMBAN KWAKO

Image
JINSI YA KUANZISHA KIWANDA NYUMBANI KWAKO CHENYE KUTENGENEZA BIDHAA MBALIMBALI Je ungependa kujifunza jinsi ya kuanzisha kiwanda nyumbani kwako cha kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani?? Nimekuandalia kitabu kizuri sana kitakachokuwezesha wewe kujifunza jinsiya kuanzisha kiwanda na jinsi ya kutengeneza bidhaaa mbalimbali . Kitabu hiki kinaitwa MJASIAMALI MTARAJIWA Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo mengi sana nayo ni 1)UJASIRIAMALI NI NINI 2)MJASIRIAMALI NI NANI 3)JINSI YA KUANZISHA BIASHARA 4)JINSI YA KUKUZA BIASHARA 5)MAMBO MUHIMU ANAYOTAKIWA KUWA NAYO MJASIRIAMALI WA KWELI 6)NA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZENYEWE NAZO NI           Sabuni za mche,sabuni za unga,sabuni za magadi,sabuni za usafi za maji,kufulia ,kunawia  mikono,mishumaa,losheni,shampoo,mafuta ya mgando na aina zote za batiki nk Kitabu kinapatikana kwa bei nafuu sana,niandikie ujumbe whatsup kwa maelezo zaidi kwa namba         0753637565 Au nipigie kwa hiyo namba hapo Pata nakala yako sasa

UTENGENEZAJI WA MIFUKO MBADALA

Image
JINSI YA KUTENGENEZA MIFUKO MBADALA  Kwanza Kabisa Ukitaka kuanza kutengeneza mifuko ya karatas unatakiwa kuwa na vifaa vifuatavyo Jora la karatas Mbao Gundi ya mbao  zinapatikana ktk maduka ya vifaa vya ujenzi Brash kwa ajil ya kupaka Gundi Mkas kwa ajil ya kukatia karatasi Vipimo kwa ajili ya kukata mbao ambazo utazitumia Katika kutengeneza mifuko yako Vifaa Vinapopatika Jora la karatas linauzwa katika Kiwanda cha karatas kilichopo keko nenda hapo utapata kwa Bei rahis wanauza sh 50,000/= kwa Jora Moja Pia hilo Jora ni kubwa Sana hivyo utatengeneza mifuko mingi Sana Kama 5000 hivi Hatua ya kwanza  Chukua vipimo ambavyo nimetuma hapo nenda kwa Fundi seremala Nunua mbao kisha mwambie akukatie hiYo mbao Kulingana na hivyo vipimo ambavyo umempa [11/06, 20:38] Sofiamutashobya84: Bei ya mifuko ya kamba utauza Kulingana na gharama ulizotumia pia utatengeneza Kulingana na Mahitaj yako Ukitaka Mfuko wako uwe na nembo bas utaenda kwa wale wanao print T-shirt k

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE UNGA WA LISHE.              Unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. Mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji. Wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa walio kusudiwa kuutumia.Hii ni ili kuweka viini lishe vinavyo endana na mtumiaji. Pia unaweza kutengeneza unga lishe kwa matumizi ya jumla ambao unafaa kutumiwa na mtu yeyote. Unga huo uwe na mchanganyiko wa nafaka zifuatazo: *KANUNI ZA KUANDAA UNGA WA LISHE.* Vifaa =ulezi kg 1 =mahindi yasiyokobolewa kg 1/2 =ngano isiyokobolewa kg 1/2 =karanga kavu ila mbichi 1/2 =soya isiyobanguliwa 1/2. *Njia ya kuandaa.* 1) chukua ulezi wako upete vizuri kwenye ungo. Kisha weka kwenye maji kuupembua. Hakiksha kwamba unaupembua mara nyingi zaidi kwa kutumia maji masafi na chombo cha bati hadi mawe/ mchanga uishe wote kabisa. Kumbuka kwamba ulezi huwa michanga sana. hivyo matumizi ya vitu vya bati au chuma wakati wa ku