UTENGENEZAJI WA MIFUKO MBADALA
JINSI YA KUTENGENEZA MIFUKO MBADALA
Kwanza Kabisa Ukitaka kuanza kutengeneza mifuko ya karatas unatakiwa kuwa na vifaa vifuatavyo
Jora la karatas
Mbao
Gundi ya mbao zinapatikana ktk maduka ya vifaa vya ujenzi
Brash kwa ajil ya kupaka Gundi
Mkas kwa ajil ya kukatia karatasi
Vipimo kwa ajili ya kukata mbao ambazo utazitumia
Katika kutengeneza mifuko yako
Vifaa Vinapopatika
Jora la karatas linauzwa katika Kiwanda cha karatas kilichopo keko nenda hapo utapata kwa Bei rahis wanauza sh 50,000/= kwa Jora Moja
Pia hilo Jora ni kubwa Sana hivyo utatengeneza mifuko mingi Sana Kama 5000 hivi
Hatua ya kwanza
Chukua vipimo ambavyo nimetuma hapo nenda kwa Fundi seremala Nunua mbao kisha mwambie akukatie hiYo mbao Kulingana na hivyo vipimo ambavyo umempa
[11/06, 20:38] Sofiamutashobya84: Bei ya mifuko ya kamba utauza Kulingana na gharama ulizotumia pia utatengeneza Kulingana na Mahitaj yako Ukitaka Mfuko wako uwe na nembo bas utaenda kwa wale wanao print T-shirt kisha utaongea nao wataprint mifuko yako jins utakavyo hitaj
[11/06, 20:38] Sofiamutashobya84: Bei za mifuko
Mifuko hii haiuzwi mmoja mmoja inauzwa kwa piece Yaan kuanzia mifuko 100
Huo mkubwa ni kg 2
Huo wa Kati ni kg1
Huo Mdogo ni nusu
Kwa hiyo ww Ukisha Tengeneza mifuko yako utauza kwa piece 100 kila Mfuko
HiYo midogo mmoja ni sh 60 ikiwa 100 =6000
Huo wa Kati utauza sh 80 Mfuko mmoja ikiwa 100 utauza sh 8000/=
Huo mkubwa ni 1000 mmoja ikiwa 100 utauza sh 10,000/=
Bei Ndio hizo
Note pia utaangalia na gharama ulizotumia kutengeneza mifuko yako utaweza kupunguza au kuzidisha utaangalia ww
Huo Mfuko wa kuweka kamba material yake Yapo yanapataikana
Vifaa vinavyotumika hapo ni
Manila karatas ngumu
Gundi ya mbao
Kamba
HiYo manila zinapatikana ktk maduka ya vifaa vya shule (stationary) nenda mjini kaulizie
Hizo kamba za kuweka kwenye Huo Mfuko zinapatikana ktk maduka ya cherehan na vifaa vya ushonaji nenda kaulizie Bei Inategemea na ukubwa wa kamba unayotaka

Nashkuru kwa elimu ya ujasiriamali
ReplyDeleteasante kwa elimu, inakuwaje ikiwa nahitaji kujifunza kwa vitendo
ReplyDeleteAsanye kwa post nzur mungu akubariki
ReplyDelete