Posts

Showing posts from November, 2019

Darasa bure

Image
Je ungependa kujifunza utengenezaji wa bidhaa mbali mbali za viwandan kama sabuni za usafi za maji,sabuni za mche,sabuni za magadi,sabuni za unga,shampoo,losheni,dawa za madoa,chaki,mishumaa,mafuta ya mgando,batiki kama kitenge,batiki za mshumaa,na aina nyingine zote nk Tunatoa mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa hizo kwa wiki mzima ,darasa ni bure kabisa,wahi kabla ofa haijaisha ujipatie ujuzi wa kujiajiri mwenyewe Ili kuweza kujiunga na darasa letu bofya link hii https://chat.whatsapp.com/BDjAe4m3x3GBc0wEPoFgWW Pia utapata kitabu chenye mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa hizo hatua kwa hatua kwa bei poa kabisa Karibu sana

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MLONGE

SABUNI YA MLONGE: MAHITAJI 1:JUISI YA MAJANI MABICHI YA MLONGE ROBO LITA IWE NZITO.( ROJO) 2: CAUSTIC SODA  NUSU KILO 3: MAFUTA ( MISE, MBOSA, ALIZETI, MAWESE NK) LITA MOJA 4: PAFYUMU LEMON 5: MOULD) UMBO ------------------- JINSI YA KUTENGENEZA: HATUA YA 01: LOWEKA CAUSTIC SODA ½ KILO KTK MAJI LITA 2½ KISHA KOROGA KUELEKEA UPANDE MMOJA KWA MUDA WA NUSU SAA KISHA FUNIKA ACHA KWA MASAA 24.( SOLUTION) HATUA YA 02:  CHUKUA ROJO LA MAJANI YA MLONGE ROBO CHUJA VYEMA IWE SOFTI SANA KISHA MIMINA KTK MAFUTA LITA MOJA,KOROGA KWA DAKIKA 10 KISHA HATUA 03:  CHUKUA SOLUTION( CAUSTIC SODA NUSU LITA  ULIYOILAZA KWA MASAA24 , MIMINA KTK MAFUTA  CHANGANYA NA ROJO KISHA KOROGA KUELEKEA UPANDE MMOJA HADI IWE NZITO KAMA UJI , WEKA PAFYUM NUSU KIJIKO  CHA CHAI ,KOROGA DAKIKA 5, KISHA MIMINA KTK UMBO( MOLD) D ULIYOIANDAA. BAADA YA MASAA 24 ITOE KTK MOULD IWEKE SAKAFUNI ILI IZIDI KUKAUKA VYEMA. .-------------------.