JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MLONGE
SABUNI YA MLONGE:
MAHITAJI
1:JUISI YA MAJANI MABICHI YA MLONGE ROBO LITA IWE NZITO.( ROJO)
2: CAUSTIC SODA NUSU KILO
3: MAFUTA ( MISE, MBOSA, ALIZETI, MAWESE NK) LITA MOJA
4: PAFYUMU LEMON
5: MOULD) UMBO
-------------------
JINSI YA KUTENGENEZA:
HATUA YA 01:
LOWEKA CAUSTIC SODA ½ KILO KTK MAJI LITA 2½ KISHA KOROGA KUELEKEA UPANDE MMOJA KWA MUDA WA NUSU SAA KISHA FUNIKA ACHA KWA MASAA 24.( SOLUTION)
HATUA YA 02:
CHUKUA ROJO LA MAJANI YA MLONGE ROBO CHUJA VYEMA IWE SOFTI SANA KISHA MIMINA KTK MAFUTA LITA MOJA,KOROGA KWA DAKIKA 10 KISHA
HATUA 03: CHUKUA SOLUTION( CAUSTIC SODA NUSU LITA ULIYOILAZA KWA MASAA24 , MIMINA KTK MAFUTA CHANGANYA NA ROJO KISHA KOROGA KUELEKEA UPANDE MMOJA HADI IWE NZITO KAMA UJI , WEKA PAFYUM NUSU KIJIKO CHA CHAI ,KOROGA DAKIKA 5, KISHA MIMINA KTK UMBO( MOLD)
D ULIYOIANDAA.
BAADA YA MASAA 24 ITOE KTK MOULD IWEKE SAKAFUNI ILI IZIDI KUKAUKA VYEMA.
.-------------------.

Comments
Post a Comment