Darasa bure

Je ungependa kujifunza utengenezaji wa bidhaa mbali mbali za viwandan kama sabuni za usafi za maji,sabuni za mche,sabuni za magadi,sabuni za unga,shampoo,losheni,dawa za madoa,chaki,mishumaa,mafuta ya mgando,batiki kama kitenge,batiki za mshumaa,na aina nyingine zote nk

Tunatoa mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa hizo kwa wiki mzima ,darasa ni bure kabisa,wahi kabla ofa haijaisha ujipatie ujuzi wa kujiajiri mwenyewe

Ili kuweza kujiunga na darasa letu bofya link hii https://chat.whatsapp.com/BDjAe4m3x3GBc0wEPoFgWW

Pia utapata kitabu chenye mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa hizo hatua kwa hatua kwa bei poa kabisa

Karibu sana

Comments

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE