JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA
JE UNGEPENDA KUJUA JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA??? Karibu uungane nami katika mafunzo haya leo tutajifunza utengene zaji wa sabuni ya unga Mahitaji 1)Saifonic acid kilo 1 2)Maji nusu lita 3)Soda ash kilo 6 4)Sodium metassilyket kilo 1 5)Optic blaitina vijiko 10 vya chakula 6)Perfume vijiko 2 vya Chakula 7)Rangi vijiko 2 vya chakula 8)Nanza Hatua 1)Andaa ndoo ya plastik kisha tia sallifonic acid na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja 2)Tia optic blaitina ,nanza na perfume na uendelee kukoroga mpaka vichanganyikane Vizuri 3)Wakati unaendelea kukoroga tia soda ash nusu na uendelee kukoroga kisha tia sodium metasilic yote na ukoroge mpaka vichanganyikane vizuri 4)Tia rangi vijiko 2 vya chakula,halafu tia maji na koroga vichanganyikane vizuri baada ya hapo anika sabuni yako kivulini kwa kutumia nailon kwa muda wa masaa matatu au manne baada ya hapo sabuni itakuwa tayari kwa matumizi Huo ndio utengenezaj