SI LAZIMA UWE NA DEGREE ILI KUFANIKIWA

Heloooow

Ukiwa mmoja kati ya watu wanaohangaika ,unalalamika huna kazi,huna ajira ,umekata tamaa ya maisha hujui nn cha kufanya haijalishi umemaliza chuo au hujasoma ,hii haitaji kwenda chuo au mpaka uwe na madigree ndo ufanye,



Umewahi kujiuliza mtaan kwako umezungukwa na maduka mangapi yanayohitaji bidhaa mbalimbali au jamii yako iliyokuzunguka inauhitaji gan ina uhijaji gan?

Ninakuletea mafunzo ya ujasiriamali ,jinsi ya kutengeneza bidhaaa mbalimbali za viwandan,kama sabuni za miche,sabun za usaf,sabun za kuoshea magar,kunawia mikono,dawa za masinc yaliyofubaa,utengengenezaji wa batiki aina zote ,vikoi,njia bora za ufugaji wa kuku kibiashara ili uweze kujiajiri mwenyewe na kujipatia kipato.

Kwa mtaji mdogo unaweza kufanya haya na ukafanikiwa tuondokane na dhana ya mpaka uwe na mamilion ya pesa ndio uweze kufanya jambo .


Fanya maamuzi sasa ondokana na dhana ya kuarisha mambo muda haukusubiri utabakia mtu wa kulalamika na maendeleo utayaona kwa wenzako tuu 


Ili uweze kupata mafunzo haya weka namba yako hapa nikuunge kwa group yangu ya whatsup huko utajifunza kwa ufasana zaid


Mafunzo haya nafundisha nadharia na video
Asante sana na karibu twende pamoja kwenye mafanikio
Kwa mafunzo zaid nifatilie kwa page yangu kwa jina la
Sofia Mutashobya Mutashobya Anza Hata Kama haupo Tayari
Usisahau kulike page yangu

NB:hakikisha unaweka namba yako ya whatsup ili twendwe sawa
Wasiliana na kwa no
0753637575

Comments

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE