ZIJUE SIRI TANO ZA KUJIAJIRI

ZIJUE SIRI TANO
MUHIMU KABLA
HUJAAMUA KUJIAJIRI

   MAMBO YA KUZINGATIA
   Jinsi ya kujiajiri
 Mambo matano ya kuzingatia kabla ya kujiajiri ni haya yafuatayo

   Ideas(wazo)
Una idea ya kitu gani ambacho unaona unaweza kufanya nini haijalishi umesoma mpaka wap au una elimu kiasi gani wazo ni muhimu sana kama unataka kufanya jambo

   Fanya reseach
Fuatilia hicho kitu unachokitaka kufanya kinafanyika vipi jifunze kwa watu walioko kwenye hiyo fani au waliotangulia

   Anza kufanya kile kitu usisubiri labda upate mamilion ya pesa ndio uanze kufanya anza na kidogo ulichonacho kiendeleze hadi kikue

  Soma
Unatakiwa usome sana taka kujua kuhusiana na kile kitu na ujifunze kwa waliofanikiwa
 
Shirikisha wengine ili uweze kupata expirience ya hicho kitu unachokifanya
   Usiogope changamoto utakazokutana naxo wakati wa kufanya kile kitu usikate tamaa inaweza kuwa njia moja wapo ya kukuimarisha

    Na ili uwe mjasiriamali wa kweli lazima upambane na changamoto,usipopambana na changamoto hujawa mjasiriamali bado
 
   Zingatia hayo yatakusaidia sana  kusonga mbele kufikia mafanikio yako
 Asante sana tukutane kwenye makala nyingine za ujasiriamali

  Kwa mawasiliano zaidi piga 0753637575

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI