JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA

JE UNGEPENDA KUJUA
JINSI YA KUTENGENEZA
SABUNI YA UNGA???

   Karibu uungane nami
katika mafunzo haya
leo tutajifunza utengene
zaji wa sabuni ya unga
     Mahitaji
1)Saifonic acid kilo 1
2)Maji nusu lita
3)Soda ash kilo 6
4)Sodium metassilyket
    kilo 1
5)Optic blaitina vijiko 10
    vya chakula
6)Perfume vijiko 2 vya
    Chakula
7)Rangi vijiko 2 vya
    chakula
8)Nanza
   
       Hatua
1)Andaa ndoo ya plastik
kisha tia sallifonic acid
na uanze kukoroga
kuelekea upande mmoja

2)Tia optic blaitina ,nanza
  na perfume na uendelee
kukoroga mpaka vichanganyikane
Vizuri

3)Wakati unaendelea kukoroga
tia soda ash nusu na uendelee kukoroga kisha
tia sodium metasilic yote na ukoroge
mpaka vichanganyikane vizuri

4)Tia rangi vijiko 2 vya chakula,halafu tia maji na koroga vichanganyikane vizuri
baada ya hapo anika sabuni yako kivulini  kwa
kutumia nailon kwa muda wa masaa matatu au manne baada ya hapo sabuni
itakuwa tayari kwa matumizi

Huo ndio utengenezaji wa sabuni ya unga hatua kwa hatua
 
Asante sana na usiache kunifuatilia katika muendelezo wa mafunzo haya ya utengenezaji wa bidhaa za viwandani

Endelea kutembelea blog hii utafaidika sana
 Kwa mawasiliano zaidi piga
+255753637565
    Sofia Mutashobya



   

Comments

  1. Ok vzr sana...bt hupatkanaji wa malighaf uko vp na bei zake je?

    ReplyDelete
  2. Dada Sofia Mambo!umesema soda ash kilo 6;kwenye nahitaji lakini kwenye hatua umesema soda ash nusu ipi ni sahihi

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE