JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

Mahitaji
Caustic Soda kilo 3
Mafuta ya mawese lita 20
Sodium Silket
Maji lita 10
Rangi ya bluu vijiko 3

Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua

1)Chukuwa coustic soda changanya na maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja endelea kufanya hivyo hadi vichanganyikane vizur baada ya hapo iache kwa saa 24

2)Chukuwa kindoo kidogo na upunguze mafuta lita 3 kwa ajili ya kuweka rangi pembeni,weka rangi vijiko 3 ,changanya na mafuta uliyopunguza lita 3 kisha koroga mpaka yachanganyikane vizur kabisa

3)Chukuwa coustic soda uliyoloweka kwenye ndoo kubwa ,kisha tia mafuta na uendelee kukoroga kuekekea upande mmoja kwa nguvu na kwa haraka,tia sodium silgett kwa kunyunyuzia kidogo kidogo, endelea kukoroga hadi vichanganyikane viwe kitu kimoja

4)Baada ya hapo andaa ndoo nyingine ndogo ,chukuwa uji uliokoroga au mkorogo wako kias kwa ajili ya kuchanganya na rangi mwanzo na mafuta kisha koroga kwa pamoja vichanganyikane vizur

5)Kishaa andaa box la kukaushia sabuni na mimina mkorogo wako kwenye box ,kisha chukuwa mkorogo wenye rangi na umimine juu kwa stail ya zigzaga kisha pitisha mwiko ili rangi iingie mpaka chini

Baada ya hapo iache kwa saa 24 ili ikauke vizur,kisha itoe na uikate kate sabuni yako

NB :Kama unataka sabun nyingi vipimo vinaongezeka,au kama ni kidogo vipimo vinapungua inategemea na ww mwenyewe unatakaje 

Huo ndio utengengenezaji wa sabun ya magadi au gwanji kama una swali lolote uliza

Comments

  1. Je soda ash haitumiki katika sabuni ya magadi?

    ReplyDelete
  2. Naomba jinzi ya kufundishwa kutengeneza sabuni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nipigie kwa hiyo namba au tuma ujumbe whatsup

      Delete
    2. Mambo vp mm nilitengeneza sabuni ya mche lkn ikawa ngum kabisa pia povu lilikuwa linatoka kidogo halaf pia inachubua Kwan nilikosea wapi

      Delete
  3. Ktk sabuni za magadi gliceline haiekwi?

    ReplyDelete
  4. Nataka kujifunza kutengeneza sabun

    ReplyDelete
  5. Naitaj kujifunza sabuni za michee

    ReplyDelete
  6. Jee, sodium silicate lita3 ni kwa Lita 20 ya mafuta au maji au ni ya mchanganyiko was maji na mafuta?

    ReplyDelete
  7. Naomba kupata namba yako kwa mawasiliano tafadhali

    ReplyDelete
  8. Hii rangi Ni maalumu kwa sabuni tu a?

    ReplyDelete
  9. Samhani jmn hapo kiwango cha sodium silcate ni kiasi gani??

    ReplyDelete
  10. Naomba huo ujuzi wa kutengeza sabuni

    ReplyDelete
  11. napataje ayoo maitaji ili niweze tengeneza sabun

    ReplyDelete
  12. Mi nilikua nauliza rangi ya mafita ya mawese aitasumbua?

    ReplyDelete
  13. Nahitaji elimu hii jamn

    ReplyDelete
  14. Naomba unijuze vipimo vya kemikali kiasi gani Una uwezo wa sabuni kiasi gani...mfano kuna sabuni wa gram 600 800 na kilo moja Kwa hio unatarajia miche mingapi ya sabuni mfano wa kilo moja Kwa kemikali na mafuta kiasi gani

    ReplyDelete
  15. Kwa wahitaji wa malighafi au chemical hizo 0767218541
    Ninazo

    ReplyDelete
  16. Naomba matumizi ya Hydrometer katika kuzalisha sabuni

    ReplyDelete
  17. Perfume inayotumika ikoje au ndo hizi tunazojipulizia

    ReplyDelete
  18. Vitu hivi vinapatikana sokon au Kuna sehem maalumu

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE