JUA JINSI YA KUKUZA JINA LAKO (BRAND YAKO)

JUA NI JINSI GAN UNAWEZA KUJENGA AU KUKUZA JINA LAKO (Brand) AIDHA NI JINA LA BIASHARA ,COMPANY AU JINA LAKO BINAFSI

Kwanza kabisa sifa ya kwanza ni upekee wa jina lako ,jina lako lina dhamani kubwa sana  (personal style) wewe ni nani na ukisimama uonekane wewe kama wewe usifananishwe na mtu mwingine kuanzia muonekano,kuongea hata mambo unayoyafanya

2)Ongeza network ungana na watu wanaofanya kitu kinachofanana na chako jifunze zaidi na zaidi kutoka kwao,kama ww ni mfugaji ungana na wafugaji,mfanyabiashara ungana nao,sio wewe ni mkulima unakaa na waimbaji hiyo haitakusaidia kaa kwenye nafasi

3)Zungumza kile kitu unachokifanya kila wakati kiishi au kukitangaza lile jambo unalofanya leo hii tunaona makampuni makubwa,watu maarufu wenye majina makubwa ni kwasababu ya kuzungunguza na kutangaza wanachokifanya usiwe na kitu ukabaki nacho mwenyewe (share) na wengine hata kwenye mitandao ya kijamii elezea kitu unachokifanya na watu watakuelewa sana

4)Kitu kingine cha msingi sana ni kujua watu gani unawalenga kutatua au kusaidia tatizo walilonalo rika lipi kama ni wazee,vijana,akinamama  hapo unaweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana

Fanya kile unachokiamini kwa leo naishia hapa
        See you next time
Usiache kutembelea blog hii

Comments

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE