JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI YA BLEACH



  Jinsi ya kutengeneza:
    Mahitaji
 Andaa kitambaa cha batiki kisha kitundike kwenye kamba au kitandike kwenye meza au majan

2)Changanya bleach na maji kwenye uwiano ulio sawa kisha itie kwenye chupa ya kunyunyuzia,na unyunyuzie kwenye kitambaa had kienee kote

3)Kiache kwa dakika 5-10 kisha kitoe na ukifue halafu kianike kwenye kivuli hadi kikauke ,kisha piga pas hapo ni tayar kwa matumiz

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE