UTENGENEZAJI WA DAWA YA MADOA

Hellowwww


Utengenezaji wa dawa ya madoa
   Mahitaji:
 1)Maji 20
2)Calcium hypoklorite nusu kilo
3)Sodash kilo 1

 Hatua

Andaa ndoo ya plastick kisha weka maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja
2)Weka mahitaji yote na uendelee kukoroga kwa 10 kisha iache kwa siku tatu
3)Siku ya tatu ichuje na itakuwa tayar kwa matumizi
NB:Hakikisha wakat wa kukoroga usibadilishe mwelekeo
Asante sana usiache kutembelea blog hii

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI