Jinsi ya kutengeneza sabuni ya kuoshea tiles,masinc na vigae
Tiles cliner ni dawa ya kusafisha marumaru, masinki ya choo na ya kunawia.
*Hutengenezwa kwa kutumia malighafi zifuatazo.*
1; Maji lita 20
2: Hydrokloliki aside 15lt
3: Siles 500gm
*JINSI YA KUTENGENEZA*
1. Pima maji 20lts weka kwenye diaba
2. Weka siles 500gm anza kukoroga kuelekea upande mmoja
3. Weka Hydrokololic aside polepole koroga baada ya hapo itakuwa tayari weka kwenye vifungashio.
Itakuwa tayari kwa matumizi au kuuzwa
Asante
Asante kwa somo zuri
ReplyDelete