UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

🍦🍦1.ICE CREAM ZA UBUYU🍦🍦

🍦mahitaji:-
  ubuyu wa unga 1/2
  sukari 3/4
  ngano vijiko vi 2. 
  Rangi yoyote
  maji litre8-10
  vannila/hiliki.

🍦🍦Weka maji, weka ubuyu wa unga nusu kilo.  ubuyu changanya kbs na unga wa ngano vijiko viwili.

🍦🍦bandika jikoni huku ukikoroga mpaka uwe mzito kiasi. weka sukari pia chota hata sehemu tatu ili kuweka rangi tofauti. koroga dk 5
then epua pooza na ufunge kwenye vifuko.

N:B Unga wa ngano unafanya ice cream iwe laini isiwe ngumu.
badala ya ngano unaweza weka corn flour. japo ni gharama kdg

Hivyo ndivyo unaweza kutengeneza ice cream ya ubuyu hatua kwa hatua

Asante na usiache kutembelea blog hii

Pia nifuatilie kwenye ukurasa wangu wa Facebook

Na Page yangu kwa jina la Sofia Mutashobya Anza Hata Kama Haupo Tayari

Simu 0753637565

Comments

  1. Nmeelewa,ila hyo shepu ntaipataje ya kufanya ice ziwe hvyo

    ReplyDelete
  2. Nmeelewa kwa uelevu wa hali ya juu ila napataje hiyo shape

    ReplyDelete
  3. NAOMBA UNIJUZE NAMNA YA KUPATA VIKOPO (MOULD) NAMBA YANGU WHATSAPP 0754774001 au 0710987324 NITASHUKURU

    ReplyDelete
  4. Nataka ice cream yangu iwe na rangi tofauti yaani labda juu njano na chin nyekundu nafanya je

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama unahitaji mafunzo zaidi nitumie ujumbe whatsup 0622781483

      Delete
  5. ninawezaje pata vikopo
    vya shape ya ice cream

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maduka ya vyombo ya jumla au kwenye maduka yanayouza maplastic

      Delete
  6. Corn flour inasaidia nn kwenye barafu

    ReplyDelete
  7. Nauza tapioca starch food grade, ni nzuri sana kwenye kutengeneza ice-cream 🍦 inapatikana kwa bei nafuu sana. Karibuni

    ReplyDelete
  8. Je kama ubuyu ni wa tunda na si wa unga ngano utaweka wakati gani

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE