JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA ALOVERA

JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA ALOVERA KWA NJIA RAHISI KABISA UKIWA NYUMBANI KWAKO
SHAMPOO YA ALOVERA


MAHITAJI

UTE SOFT WA ALOVERA VIJIKO5

CDE MILS 50+

GRYSELINE VIJIKO5

FORMALINE VIJIKO 5

ROJO LA ALOVERA VIJIKO 5

TIGNA YA 3000 GAWA UTUMIE NUSU YAKE

SLESS LITA 1

PAFYUM

RANGI

MAJI LITA 30

HATUA YA O1:

LOWEKA TIGNA KTK MAJI LITA15,

KOROGE HADI ILETE UJI MZITO

LOWEKA SLESS KTK MAJI LITA 15 KOROGA HADI IYEYUKE YOTE

KISHA CHANGANYA MIKOROGO HIYO MIWILI👆🏿👆🏿👆🏿

HATUA YA O3:

WEKA GRYSELINE,   RANGI, KOROGA VIZURI KISHA WEKA VIJIKO 5 VYA ROJO YA ALOVERA ILIYO SOFT KOROGA KISHA WEKA FORMALINE KOROGA KISHA WEKA CDE KOROGA NA MWISHO TIA PAFYUM KOROGA KISHA IACHE ITULIE BAADA YA SAA 24 PAKI KTK CHOMBO.

NB: SHAMPOO ITAKUWA NZITO SANA  USIONGEZE MAJI.

KWA MAFUNZO ZAIDI JUU YA UTENGENEZAJI WA NIDHAA HIZI NITUMIE UJUMBE WHATSUP /AU NIPIGIE KWA NA NAMBA HIZI

0753637565/0714793386

UNAKARIBISHWA

Comments

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI