Mahitaji Caustic Soda kilo 3 Mafuta ya mawese lita 20 Sodium Silket Maji lita 10 Rangi ya bluu vijiko 3 Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua 1)Chukuwa coustic soda changanya na maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja endelea kufanya hivyo hadi vichanganyikane vizur baada ya hapo iache kwa saa 24 2)Chukuwa kindoo kidogo na upunguze mafuta lita 3 kwa ajili ya kuweka rangi pembeni,weka rangi vijiko 3 ,changanya na mafuta uliyopunguza lita 3 kisha koroga mpaka yachanganyikane vizur kabisa 3)Chukuwa coustic soda uliyoloweka kwenye ndoo kubwa ,kisha tia mafuta na uendelee kukoroga kuekekea upande mmoja kwa nguvu na kwa haraka,tia sodium silgett kwa kunyunyuzia kidogo kidogo, endelea kukoroga hadi vichanganyikane viwe kitu kimoja 4)Baada ya hapo andaa ndoo nyingine ndogo ,chukuwa uji uliokoroga au mkorogo wako kias kwa ajili ya kuchanganya na rangi mwanzo na mafuta kisha koroga kwa pamoja vichanganyikane vizur 5)Kishaa andaa box la kukaushia sabuni na mimina mkorogo wa...
JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE UNGA WA LISHE. Unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. Mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji. Wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa walio kusudiwa kuutumia.Hii ni ili kuweka viini lishe vinavyo endana na mtumiaji. Pia unaweza kutengeneza unga lishe kwa matumizi ya jumla ambao unafaa kutumiwa na mtu yeyote. Unga huo uwe na mchanganyiko wa nafaka zifuatazo: *KANUNI ZA KUANDAA UNGA WA LISHE.* Vifaa =ulezi kg 1 =mahindi yasiyokobolewa kg 1/2 =ngano isiyokobolewa kg 1/2 =karanga kavu ila mbichi 1/2 =soya isiyobanguliwa 1/2. *Njia ya kuandaa.* 1) chukua ulezi wako upete vizuri kwenye ungo. Kisha weka kwenye maji kuupembua. Hakiksha kwamba unaupembua mara nyingi zaidi kwa kutumia maji masafi na chombo cha bati hadi mawe/ mchanga uishe wote kabisa. Kumbuka kwamba ulezi huwa michanga sana. hivyo matumizi ya vi...
Jinsi ya Kutengeneza Batiki za Mshumaa za Kisasa Zenye Muundo wa Kitenge – Hatua kwa Hatua Batiki za mshumaa ni sanaa ya kipekee inayochanganya ubunifu na ufundi wa mikono, huku zikitoa matokeo mazuri na ya kuvutia. Hapa tutakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza batiki za kisasa zenye dizaini ya kitenge, zenye rangi na muundo wa kuvutia. Bb Vifaa Utakavyohitaji: - Nguo safi ya pamba au kitambaa cha kitenge - Mshumaa au nta ya batiki (wax) - Brashi au kipande cha pamba (kwa kutumia nta) - Rangi za batiki au rangi za vitambaa - Maji ya moto na sabuni ya kuondoa nta - Kalamu ya kuchora muundo - Vyombo vya kupasha nta na mchanganyiko wa rangi - Chombo cha kupaka rangi (ndoo, sufuria au sinia) Hatua za Kufuatia: 1. Chagua na Andaa Kitambaa Chagua kitambaa chenye pamba 100% kwa matokeo bora. Kitenge au kitambaa cha pamba ni chaguo bora kwa batiki za kisasa kwani kinashika rangi vizuri na kina texture nzuri. Safisha kitambaa kwa sabuni ili kuondoa mafuta au uchafu wowote ...
Comments
Post a Comment