Jipatie nataka ya kitabu hiki itayokuwesha kupata mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbali mbali za viwandan hatua kwa hatua ,kama unahitaji kitabu hiki wasiliana nami kwa namba hi
🍦🍦1.ICE CREAM ZA UBUYU🍦🍦 🍦mahitaji:- ubuyu wa unga 1/2 sukari 3/4 ngano vijiko vi 2. Rangi yoyote maji litre8-10 vannila/hiliki. 🍦🍦Weka maji, weka ubuyu wa unga nusu kilo. ubuyu changanya kbs na unga wa ngano vijiko viwili. 🍦🍦bandika jikoni huku ukikoroga mpaka uwe mzito kiasi. weka sukari pia chota hata sehemu tatu ili kuweka rangi tofauti. koroga dk 5 then epua pooza na ufunge kwenye vifuko. N:B Unga wa ngano unafanya ice cream iwe laini isiwe ngumu. badala ya ngano unaweza weka corn flour. japo ni gharama kdg Hivyo ndivyo unaweza kutengeneza ice cream ya ubuyu hatua kwa hatua Asante na usiache kutembelea blog hii Pia nifuatilie kwenye ukurasa wangu wa Facebook Na Page yangu kwa jina la Sofia Mutashobya Anza Hata Kama Haupo Tayari Simu 0753637565
JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE UNGA WA LISHE. Unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. Mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji. Wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa walio kusudiwa kuutumia.Hii ni ili kuweka viini lishe vinavyo endana na mtumiaji. Pia unaweza kutengeneza unga lishe kwa matumizi ya jumla ambao unafaa kutumiwa na mtu yeyote. Unga huo uwe na mchanganyiko wa nafaka zifuatazo: *KANUNI ZA KUANDAA UNGA WA LISHE.* Vifaa =ulezi kg 1 =mahindi yasiyokobolewa kg 1/2 =ngano isiyokobolewa kg 1/2 =karanga kavu ila mbichi 1/2 =soya isiyobanguliwa 1/2. *Njia ya kuandaa.* 1) chukua ulezi wako upete vizuri kwenye ungo. Kisha weka kwenye maji kuupembua. Hakiksha kwamba unaupembua mara nyingi zaidi kwa kutumia maji masafi na chombo cha bati hadi mawe/ mchanga uishe wote kabisa. Kumbuka kwamba ulezi huwa michanga sana. hivyo matumizi ya vitu vya bati au chuma wakati wa ku
Mahitaji Caustic Soda kilo 3 Mafuta ya mawese lita 20 Sodium Silket Maji lita 10 Rangi ya bluu vijiko 3 Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua 1)Chukuwa coustic soda changanya na maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja endelea kufanya hivyo hadi vichanganyikane vizur baada ya hapo iache kwa saa 24 2)Chukuwa kindoo kidogo na upunguze mafuta lita 3 kwa ajili ya kuweka rangi pembeni,weka rangi vijiko 3 ,changanya na mafuta uliyopunguza lita 3 kisha koroga mpaka yachanganyikane vizur kabisa 3)Chukuwa coustic soda uliyoloweka kwenye ndoo kubwa ,kisha tia mafuta na uendelee kukoroga kuekekea upande mmoja kwa nguvu na kwa haraka,tia sodium silgett kwa kunyunyuzia kidogo kidogo, endelea kukoroga hadi vichanganyikane viwe kitu kimoja 4)Baada ya hapo andaa ndoo nyingine ndogo ,chukuwa uji uliokoroga au mkorogo wako kias kwa ajili ya kuchanganya na rangi mwanzo na mafuta kisha koroga kwa pamoja vichanganyikane vizur 5)Kishaa andaa box la kukaushia sabuni na mimina mkorogo wa
Naweza kupata softcopy ya kitabu hiki tafadhali?
ReplyDeleteNdio
ReplyDelete