Kama ungependa kujifunza utengenezaji wa batiki kama hizi na aina nyingine nyingi ,mikunjo mbali mbali ya batiki mafunzo bado yanaendelea wasiliana nami kwa namba 0753637565 au tuma ujumbe whatsup kwa namba hiyo kwa maelezo zaidi
UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU
🍦🍦1.ICE CREAM ZA UBUYU🍦🍦 🍦mahitaji:- ubuyu wa unga 1/2 sukari 3/4 ngano vijiko vi 2. Rangi yoyote maji litre8-10 vannila/hiliki. 🍦🍦Weka maji, weka ubuyu wa unga nusu kilo. ubuyu changanya kbs na unga wa ngano vijiko viwili. 🍦🍦bandika jikoni huku ukikoroga mpaka uwe mzito kiasi. weka sukari pia chota hata sehemu tatu ili kuweka rangi tofauti. koroga dk 5 then epua pooza na ufunge kwenye vifuko. N:B Unga wa ngano unafanya ice cream iwe laini isiwe ngumu. badala ya ngano unaweza weka corn flour. japo ni gharama kdg Hivyo ndivyo unaweza kutengeneza ice cream ya ubuyu hatua kwa hatua Asante na usiache kutembelea blog hii Pia nifuatilie kwenye ukurasa wangu wa Facebook Na Page yangu kwa jina la Sofia Mutashobya Anza Hata Kama Haupo Tayari Simu 0753637565
Comments
Post a Comment