Kama ungependa kujifunza utengenezaji wa batiki aina tofauti tofauti ambazo hazichuji,pamoja na batiki kama vitenge vya wax wasiliana nami kwa namba 0622781483
Mahitaji Caustic Soda kilo 3 Mafuta ya mawese lita 20 Sodium Silket Maji lita 10 Rangi ya bluu vijiko 3 Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua 1)Chukuwa coustic soda changanya na maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja endelea kufanya hivyo hadi vichanganyikane vizur baada ya hapo iache kwa saa 24 2)Chukuwa kindoo kidogo na upunguze mafuta lita 3 kwa ajili ya kuweka rangi pembeni,weka rangi vijiko 3 ,changanya na mafuta uliyopunguza lita 3 kisha koroga mpaka yachanganyikane vizur kabisa 3)Chukuwa coustic soda uliyoloweka kwenye ndoo kubwa ,kisha tia mafuta na uendelee kukoroga kuekekea upande mmoja kwa nguvu na kwa haraka,tia sodium silgett kwa kunyunyuzia kidogo kidogo, endelea kukoroga hadi vichanganyikane viwe kitu kimoja 4)Baada ya hapo andaa ndoo nyingine ndogo ,chukuwa uji uliokoroga au mkorogo wako kias kwa ajili ya kuchanganya na rangi mwanzo na mafuta kisha koroga kwa pamoja vichanganyikane vizur 5)Kishaa andaa box la kukaushia sabuni na mimina mkorogo wa...
JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE UNGA WA LISHE. Unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. Mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji. Wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa walio kusudiwa kuutumia.Hii ni ili kuweka viini lishe vinavyo endana na mtumiaji. Pia unaweza kutengeneza unga lishe kwa matumizi ya jumla ambao unafaa kutumiwa na mtu yeyote. Unga huo uwe na mchanganyiko wa nafaka zifuatazo: *KANUNI ZA KUANDAA UNGA WA LISHE.* Vifaa =ulezi kg 1 =mahindi yasiyokobolewa kg 1/2 =ngano isiyokobolewa kg 1/2 =karanga kavu ila mbichi 1/2 =soya isiyobanguliwa 1/2. *Njia ya kuandaa.* 1) chukua ulezi wako upete vizuri kwenye ungo. Kisha weka kwenye maji kuupembua. Hakiksha kwamba unaupembua mara nyingi zaidi kwa kutumia maji masafi na chombo cha bati hadi mawe/ mchanga uishe wote kabisa. Kumbuka kwamba ulezi huwa michanga sana. hivyo matumizi ya vi...
JE UNGEPENDA KUJUA JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA??? Karibu uungane nami katika mafunzo haya leo tutajifunza utengene zaji wa sabuni ya unga Mahitaji 1)Saifonic acid kilo 1 2)Maji nusu lita 3)Soda ash kilo 6 4)Sodium metassilyket kilo 1 5)Optic blaitina vijiko 10 vya chakula 6)Perfume vijiko 2 vya Chakula 7)Rangi vijiko 2 vya chakula 8)Nanza Hatua 1)Andaa ndoo ya plastik kisha tia sallifonic acid na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja 2)Tia optic blaitina ,nanza na perfume na uendelee kukoroga mpaka vichanganyikane Vizuri 3)Wakati unaendelea kukoroga tia soda ash nusu na uendelee kukoroga kisha tia sodium metasilic yote na ukoroge mpaka vichanganyikane vizuri 4)Tia rangi vijiko 2 vya chakula,halafu tia maji na koroga vichanganyikane vizuri baada ya hapo anika sabuni yako kivulini kwa kutumia nailon kw...
Comments
Post a Comment