Ewe mjasiriamali usiteseke na utengenezaji wa bidhaa,kama unapenda na hujui nn cha kufanya wasiliana nasi tutakushauri na kushika mkono njoo tuyajenge hatimaye utilize ndoto zako
JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE
JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE UNGA WA LISHE. Unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. Mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji. Wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa walio kusudiwa kuutumia.Hii ni ili kuweka viini lishe vinavyo endana na mtumiaji. Pia unaweza kutengeneza unga lishe kwa matumizi ya jumla ambao unafaa kutumiwa na mtu yeyote. Unga huo uwe na mchanganyiko wa nafaka zifuatazo: *KANUNI ZA KUANDAA UNGA WA LISHE.* Vifaa =ulezi kg 1 =mahindi yasiyokobolewa kg 1/2 =ngano isiyokobolewa kg 1/2 =karanga kavu ila mbichi 1/2 =soya isiyobanguliwa 1/2. *Njia ya kuandaa.* 1) chukua ulezi wako upete vizuri kwenye ungo. Kisha weka kwenye maji kuupembua. Hakiksha kwamba unaupembua mara nyingi zaidi kwa kutumia maji masafi na chombo cha bati hadi mawe/ mchanga uishe wote kabisa. Kumbuka kwamba ulezi huwa michanga sana. hivyo matumizi ya vi...
Comments
Post a Comment