JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE UNGA WA LISHE. Unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. Mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji. Wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa walio kusudiwa kuutumia.Hii ni ili kuweka viini lishe vinavyo endana na mtumiaji. Pia unaweza kutengeneza unga lishe kwa matumizi ya jumla ambao unafaa kutumiwa na mtu yeyote. Unga huo uwe na mchanganyiko wa nafaka zifuatazo: *KANUNI ZA KUANDAA UNGA WA LISHE.* Vifaa =ulezi kg 1 =mahindi yasiyokobolewa kg 1/2 =ngano isiyokobolewa kg 1/2 =karanga kavu ila mbichi 1/2 =soya isiyobanguliwa 1/2. *Njia ya kuandaa.* 1) chukua ulezi wako upete vizuri kwenye ungo. Kisha weka kwenye maji kuupembua. Hakiksha kwamba unaupembua mara nyingi zaidi kwa kutumia maji masafi na chombo cha bati hadi mawe/ mchanga uishe wote kabisa. Kumbuka kwamba ulezi huwa michanga sana. hivyo matumizi ya vi...
Mahitaji Caustic Soda kilo 3 Mafuta ya mawese lita 20 Sodium Silket Maji lita 10 Rangi ya bluu vijiko 3 Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua 1)Chukuwa coustic soda changanya na maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja endelea kufanya hivyo hadi vichanganyikane vizur baada ya hapo iache kwa saa 24 2)Chukuwa kindoo kidogo na upunguze mafuta lita 3 kwa ajili ya kuweka rangi pembeni,weka rangi vijiko 3 ,changanya na mafuta uliyopunguza lita 3 kisha koroga mpaka yachanganyikane vizur kabisa 3)Chukuwa coustic soda uliyoloweka kwenye ndoo kubwa ,kisha tia mafuta na uendelee kukoroga kuekekea upande mmoja kwa nguvu na kwa haraka,tia sodium silgett kwa kunyunyuzia kidogo kidogo, endelea kukoroga hadi vichanganyikane viwe kitu kimoja 4)Baada ya hapo andaa ndoo nyingine ndogo ,chukuwa uji uliokoroga au mkorogo wako kias kwa ajili ya kuchanganya na rangi mwanzo na mafuta kisha koroga kwa pamoja vichanganyikane vizur 5)Kishaa andaa box la kukaushia sabuni na mimina mkorogo wa...
Sabuni ya maji kufulia Mahitaji Salifoniki acid kilo 1 Sodash robo kilo Maji lita 20 Slesi robo kilo C.D.E vijiko vitano vya chakula Gricelini vijiko 15 vya chakula Chumvi ya viwandan kilo 1 C.M.C vijiko vitano vya chakula Pafumu kijiko 1 cha chakula Rangi kijiko 1 chai Hatua Andaa ndoo ya plastik kisha weka salifonic acid,ikifuatiwa na sodash iliyochanganywa na maji na uanze kukoroga,weka maji na ukoroge mpaka vichanganyikane vizur 2)wakati ukiendelea kukoroga weka sles,c.d.e na gricelin na uendelelee kukoroga 3)Tia chumvi na uikoroge mpaka ilainike vixuri kisha weka c.m.c kidogo kidogo kwa kunyunyuzia huku ukiendelelea kukoroga,kisha weka rangi na perfumu na uendelelee kukoroga kwa dakika 10-15 4)Baada ya hapo iache kwa saa 24 na itakuwa tayar kwa matumiz NB:Kazi za malighafi C.d.e kulaininisha maji Gricelin kulainisha nguo Chumvi kutia uzito C.m.c kuongeza uzito jinsi unavyotaka
Comments
Post a Comment