RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA HATUA KWA HATUA

RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA

Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani.

Ili kuku wafugwe kwaajili ya mayai fuata ratiba hii ya chakula
Chick starter kwa muda wa miezi miwili(2)
Grower Mash kwa muda wa miezi miwili na nusu(2.5)
Layers mwezi mmoja na kuendelea.

Ili kuku wafugwe kwaajili ya nyama fuata ratiba hii ya chakula

Broiler starter-mwezi mmoja(1)
Grower Mash-Mwezi mmoja(1)
Broiler Finisher-Mwezi mmoja(1)

Ili kuku wafugwe na kutaga mayai kwaajili kutotolesha fuata ratiba hii ya chakula
Chick Starter-miezi miwili(2)
Grower mash-miezi miwili na nusu(2.5)
Breeders mash-mwezi mmoja na kuendelea.hakikisha majogoo wanapunguzwa na kubaki na uwiano wa jogoo mmoja kwa matetea kumi(1:10)

Ratiba hii ni kwa ufugaji wa kibiashara lakin mfugaji anaweza kuwafuga kuku hawa kwa mfumo wa nusu huria yaani kuku akaachiwa ajitaftie chakula na kisha atapewa chakula na mfugaji.Pia kuku hawa huweza kufugwa huriaa yaani akaachwa kujitaftia

Fuga kwa faida na kamwe hautajuta kufuga kuku kamwe utafaidika sana

Comments

  1. Nataka kujua ujenzi wa mabanda ya kuku,ndio Nataka kuanza kufuga

    ReplyDelete
  2. Nicheki whatsap nna shida na msaada wako kidogo boss wanguu

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI