JIFUNZE JINSI YA KUDARIZ Je ungependa kujifunza jinsi ya kudarizi vitambaa vya makochi,mashuka,foronya za kitandani pamoja na kwenye makochi nifuatilie katika masomo yangu hatua kwa hatua ili uweze kujifunza Lakini tutaanza na kujifunza jinsi ya kudarizi vitambaa MAHITAJI 1)Mashine ya kudarizi 2)Kitambaa 3)Nyuzi za rangi 4)Binding/au urembo wa less 5)Tape measure ya kupimia kitambaa 6)Karatasi iliyochorwa mauwa 7) Cabornpaper 8)Ringi ya kubana kitambaa wakati wa kudariz Hayo ndio mahitaji muhimu yanayotakiwa unataka kudariz kitambaa na kama yanavyoonekana hapo juu kwenye picha Jinsi ya kudarizi hatua kwa hatua 1)Andaa kitambaa ,kitambaa kinatakiwa kiwe cha tetron ndio kifaa zaidi kwa kudarizi ,kisha pima kulingana na zaiz ya kitambaa unachotaka ,aidha ni kidogo au kikubwa ,kwa kawaida kikubwa kinakuwa ni mita moja ambayo ni cm 100 urefu na upana ulingane au utakavyopenda mwenyewe,na kidogo cm 16 kwa 16 urefu na upana ulingane ila ukitaka kikubwa za