JINSI YA KUTENGENEZA KIKOI CHA BATIKI

UTENGENEZAJI WA KIKOI CHA BATIKI
      Mahitaji
Kitambaa cha batiki
Sodium hydrosalfate
Caustic Soda
Maji
Ndoo ya kukorogea rangi
Rangi
Mkasi
Kamba
Mask
Gloves

Jinsi ya kutengeneza

1)Andaa kitambaa cha batiki mita 2 kisha tandika kwenye meza au sakafu
2)Kunja kitambaa kulingana na mauwa unayoyataka na ufunge kwa kamba
3)Baada ya hapo tengeneza rangi kisha chovya kitambaa chako kwenye rangi sehemu ulizokunja na kufunga,kisha kitoe kiache kwa dakika 10-25
4)Fungua kitambaa na ukianike kivulin ,kisha kitoe na ukifue kwa maji barid bila sabuni,halafu anika kivulin mpaka kikauke
5)Baada ya kukauka chukuwa kitambaa,kwenye upana wa kitambaa pemben na pemben chana kidogo kwa mkono na chukuwa sindano na uanze kutoa nyuzi kwa saiz ambayo unataka kikoi chako kiwe,kisha funga nyuzi ulizofumua kisha piga pas kikoi kitakuwa tayar kwa matumiz

NB:Unaweza ukafumua nyuzi kwanza ndo ukakunja mauwa ,jinsi utakavyoona inafaa

Na kikoi kitakuwa na muonekano kama tunavyoona kwenye picha hapo juu


Asanten sana kama una swali uliza au toa maon ni mm mwenye kujali mafanikio yako

Comments

  1. Je baada ya kuchovya kwenye rangi nikakianika juani kuna shida???

    ReplyDelete
  2. Hayo mahtaj km vle hyo sodium unayapatia ap??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Samahan chief nilitaka kujua hapo mchanganyo unaotumika kuchanganyia hzo rangi kama unataka kuchapa t-shirt

      Delete
  3. Asante je maji ya kuchanganyia ranging atuchemshi jikoni

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE