Posts

Showing posts from September, 2019

JINSI YA KUTENGENEZA FOUNDANT YA KEKI

NAMNA YA KUANDAA FOUNDANT KWA AJILI YA KEKI Mahitaji . Icing sugar, ilochekechwa vikombe 7 1/2 . Maji ya baridi 1/4 kikombe . Unflavored gelatic kijiko 1 chakula (kwa waislam hakikisha ni halal gelatin) . Glucose 1/2 kikombe . Glycerine kijiko 1 1/2 chakula . Vanilla kijiko 1 NAMNA YA KUTAYARISHA 1. Tia icing uliochekecha katika bakuli kubwa kisha weka kishimo kati 2. Katika kisufuria kidogo tia maji kisha nyunyiza gelatin juu acha ilainike kwa muda wa dk 5. 3. Ipashe moto gelatin ukiwa wakoroga hadi hadi iyeyuke yote , usiache ikachemka. Zima jiko kisha tia glucose na glycerine na koroga vizuri hadi vichanganyike. 4. Tia radha, kisha mimina katika kishimo ulichoweka katika icing yako na changanya hadi icing yote ichanganyike vizuri. 5. Kanda foundant yako katika sehemu ya kukandia au sinia hadi iwe smooth na soft, ukiona inanata ongeza icing kidogo. 6. Fanya duara kisha zungusha vizuri na plastic na tia katika container lenye mfuniko. Usiweke katika fridge tu

JINSI YA KUPIKA KEKI

UPIKAJI WA KEKI JIFUNZE KUPIKA KEKI KWA JIKO LA MKAA. Upishi wa keki ni mwepesi sana endapo mpishi atazingatia vitu muhimu vinavyohitajika pamoja na hatua zake. MAHITAJI - unga vikombe2 -Maziwa kikombe1 -Sukari kikombe1 -Siagi kikombe1 -Baking powder vijiko vidogo 2 -Mayai 6 yakienyeji -Vanilla matone mawili au limao 1 Zingatia Limao au vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye keki.kwahiyo ukikosa vanilla pia waweza kutumia maganda ya limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda. HATUA ZA UPIKAJI -Andaa bakuli lako la udongo na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako -Chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari. -Koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa -Weka yai moja baada ya jingine huku ukiendelea kuukoroga mchanganyiko wako bila kupumzisha mkon

UTENGENEZAJI WA SABUNI YA KUOSHEA VYOMBO YA MAJI

SABUNI  KUOSHEA VYOMBO YA MAJI MAHITAJI SULPHONIC ACID NUSU LITA SODA ASH ROBO KILO SLESS/UNGAROL  NUSU LITA GRYCELINE VIJIKO 5 VYA CHAKULA RANGI KIJIKO 1 CHUMVI ROBO TATU TIGNA VIJIKO 5 VYA CHAKULA PAFYUM LAINI YA MATUNDA( APPLE NK) CDE VIJIKO MILS 250. MAJI SAFI LITA 20. *KUTENGENEZA:* CHUKUA MAJI LITA 2O GAWA MARA MBILI, ILI KUPATA LITA 10 KUM, KISHA LITA KUMI YA MOJA TIA TIGNA VIJIKO 5 KOROGA HADI KUPATA UJI MZITO KIASI KISHA WEKA KANDO. WEKA SULPHONIC ACID KATIKA CHOMBO KISHA TIA SODA ASH, KOROGA VYEMA HADI KUPATA KITU KAMA UGALI, HAKIKISHA UNAKOROGA VYEMA KWA MUDA WA DAKIKA 20 BILA KUPUMZIKA. KISHA ONGEZA   SLESS KOROGA VYEMA KWA DAKIKA10 KISHA TIA MAJI LITA 10    AMBAYO HAYANA TIGA, KOROGA HADI ULE UGALI  UISHE WOTE, ( TUMIA CHELEWA SAFI KURAHISISHA), BAADA YA HAPO TIA YALE MAJI YENYE TIGNA, KOROGA VYEMA KISHA ONGEZA RANGI, GRYCELINE,  CDE, ENDELEA KUKOROGA KISHA ONGEZA  CHUMVI ROBO TATU, KOROGA HADI IISHE KISHA MWISHO TIA PAFYUM KOROGA D

JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA ALOVERA

Image
JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA ALOVERA KWA NJIA RAHISI KABISA UKIWA NYUMBANI KWAKO SHAMPOO YA ALOVERA MAHITAJI UTE SOFT WA ALOVERA VIJIKO5 CDE MILS 50+ GRYSELINE VIJIKO5 FORMALINE VIJIKO 5 ROJO LA ALOVERA VIJIKO 5 TIGNA YA 3000 GAWA UTUMIE NUSU YAKE SLESS LITA 1 PAFYUM RANGI MAJI LITA 30 HATUA YA O1: LOWEKA TIGNA KTK MAJI LITA15, KOROGE HADI ILETE UJI MZITO LOWEKA SLESS KTK MAJI LITA 15 KOROGA HADI IYEYUKE YOTE KISHA CHANGANYA MIKOROGO HIYO MIWILI👆🏿👆🏿👆🏿 HATUA YA O3: WEKA GRYSELINE,   RANGI, KOROGA VIZURI KISHA WEKA VIJIKO 5 VYA ROJO YA ALOVERA ILIYO SOFT KOROGA KISHA WEKA FORMALINE KOROGA KISHA WEKA CDE KOROGA NA MWISHO TIA PAFYUM KOROGA KISHA IACHE ITULIE BAADA YA SAA 24 PAKI KTK CHOMBO. NB: SHAMPOO ITAKUWA NZITO SANA  USIONGEZE MAJI. KWA MAFUNZO ZAIDI JUU YA UTENGENEZAJI WA NIDHAA HIZI NITUMIE UJUMBE WHATSUP /AU NIPIGIE KWA NA NAMBA HIZI 0753637565/0714793386 UNAKARIBISHWA