UTENGENEZAJI WA SABUNI YA KUOSHEA VYOMBO YA MAJI

SABUNI  KUOSHEA VYOMBO YA MAJI

MAHITAJI


SULPHONIC ACID NUSU LITA

SODA ASH ROBO KILO

SLESS/UNGAROL  NUSU LITA


GRYCELINE VIJIKO 5 VYA CHAKULA

RANGI KIJIKO 1

CHUMVI ROBO TATU

TIGNA VIJIKO 5 VYA CHAKULA


PAFYUM LAINI YA MATUNDA( APPLE NK)

CDE VIJIKO MILS 250.

MAJI SAFI LITA 20.



*KUTENGENEZA:*


CHUKUA MAJI LITA 2O GAWA MARA MBILI, ILI KUPATA LITA 10 KUM, KISHA LITA KUMI YA MOJA TIA TIGNA VIJIKO 5 KOROGA HADI KUPATA UJI MZITO KIASI KISHA WEKA KANDO.

WEKA SULPHONIC ACID KATIKA CHOMBO KISHA TIA SODA ASH, KOROGA VYEMA HADI KUPATA KITU KAMA UGALI, HAKIKISHA UNAKOROGA VYEMA KWA MUDA WA DAKIKA 20 BILA KUPUMZIKA.



KISHA ONGEZA   SLESS KOROGA VYEMA KWA DAKIKA10 KISHA TIA MAJI LITA
10    AMBAYO HAYANA TIGA, KOROGA HADI ULE UGALI  UISHE WOTE, ( TUMIA CHELEWA SAFI KURAHISISHA),

BAADA YA HAPO TIA YALE MAJI YENYE TIGNA, KOROGA VYEMA KISHA ONGEZA RANGI, GRYCELINE,  CDE, ENDELEA KUKOROGA KISHA ONGEZA  CHUMVI ROBO TATU, KOROGA HADI IISHE KISHA MWISHO TIA PAFYUM KOROGA DAKIKA 5 NA ACHA SABUNI IIVE, IFUNIKE NA UIACHE KWA MASAA 24 NA ZAIDI NDIPO UFUNGASHE KATIKA VIFUNGASHIO.

Comments

  1. Asante kwa some, ila ninaswali maji yanapaswa kua ya moto au baridi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maji ya kawaida tu yale yanayotoka bombani

      Delete
  2. Asantee Nina swali,kwa vifaa hivi sabuni yangu itakuwa nzito?

    ReplyDelete
  3. Habari nimejaribu kutengeneza lakini sabuni inajitenga Yaan juu nyepes chini nzito sijui shida nn

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna kitu ujaweka sawa hapo. Unaweza pata darasa hilo vizuri zaidi

      Delete
  4. Tigna ni nini? Au ndio ile alka2?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTENGENEZAJI WA ICE CREAM ZA UBUYU

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE