Posts

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI YA KUFUNGA KWA KAMBA DIE_TIE

Image
JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI YA KUFUNGA KWA KAMBA(DIE&TIE)  Jinsi ya kutengeneza batiki ya kufunga kwa kamba hatua kwa hatua๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Andaa kitambaa cha batiki kisha kitandike juu ya meza au sakafu  kisha kunja kitambaa hicho kulingana na aina ya mauwa unayoyataka kisha kifunge kamba kulingana na jinsi ulivyokunja Chovya kwenye rangi kitambaa hicho kulingana na mauwa unayoyataka Kiache kwa dakika 5-10 kisha fungua kamba anika kivulin kwa dakika 5-10 Fua kitambaa hicho anika kivulin had kikauke  kisha piga pas na kitakuwa tayar kwa matumiz Baadhi ya mauwa yatokanayo na batiki ya kufunga kwa kamba: Nyota Kashata Sambusa Mji kati Misalaba Misalaba ndani ya drafti Miraba Mbavu    Malighafi zinazotumika kutengeneza batik Kitambaa kiwe cha pamba Sodium hydrosulfet Caustic soda Rangi Mkas Kamba Maski Gloves Jinsi ya kuchanganya rangi Andaa chombo cha plastic kisha tia Costic soda vijiko vitatu vya chakula Sodium hydrosulfet vi...

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI KWA NJIA RAHISI UKIWA  NYUMBANI KWAKO Mafuta  ya  nazi Ni  bidhaa  ambayo  hutokana  na  nazi  hufanya  kazi  nyingi  sana  mwilini ikiwemo kuondo  makovu  na  mabaka  na  kuacha  mwili  ukiwa  laini  na  bila  mafuta  na hutumika sana mara  nyingi  katika kutengenezea sabuni  za  vipande. MAHITAJI 1: Sufuria hutumika kwa ajili  ya kupikia mafuta yako  jikoni. 2: Blenda  au  kibao cha  mbuzi  kwa  ajili  ya  kukunia  nazi  zako  ili  uweze  kupata tuwi la nazi. 3: Chujio  kwa  ajili  ya  kuchuja  machicha  ya  nazi  na  kuweza  kupata  tuwi  likiwa safi  kabisa. 4: Jiko  lenye  moto  hili  hutumika  kwa  ajili  ya  kuchemsha...

JIANDAE KUFANYA MAMBO MAKUBW

Image
Je wewe ni Mjasiriamali mwenye ndoto za kufika mbali zaidi kwa kuteka masoko na kukabiliana na  ushindani wa kibiashara katika utengenezaji wa  bidhaa bora zenye viwango?? Je, unatamani kuuza bidhaa zako kwenye supermarket na mitandao ya kijamii na hujui nini cha kufanya Je, unatamani kujifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa za viwandani kama vile Sabuni za miche,sabuni za usafi za maji Dawa za chooni Jiki Shampoo Losheni Mafuta ya mgando Sabuni za magadi(mawingu) Sabuni ya unga Tiles cleaner Sabuni za kuogea Hand wash gel Mshumaa Sabuni za maji za  kufulia Sabuni ya kusafishia masinki yaliyofubaa. Chaki Mishumaa Aina zote za batiki nk Kitabu hiki ni jibu lako jipatie nakala yako ya Kitabu cha MJASIRIAMALI MJASIRIAMALIWA   kina mbinu zote muhimu za kukufikisha unapotamani kuwa. Ndani yake utaweza kuzitambua malighafi moja baada ya nyingine, jinsi zinavyotengenezwa, matumizi yake na jinsi ya kujilinda. Pia utaweza kujifunza ...

JINSI YA KUANZISHA KIWANDA NYUMBAN KWAKO

Image
JINSI YA KUANZISHA KIWANDA NYUMBANI KWAKO CHENYE KUTENGENEZA BIDHAA MBALIMBALI Je ungependa kujifunza jinsi ya kuanzisha kiwanda nyumbani kwako cha kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani?? Nimekuandalia kitabu kizuri sana kitakachokuwezesha wewe kujifunza jinsiya kuanzisha kiwanda na jinsi ya kutengeneza bidhaaa mbalimbali . Kitabu hiki kinaitwa MJASIAMALI MTARAJIWA Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo mengi sana nayo ni 1)UJASIRIAMALI NI NINI 2)MJASIRIAMALI NI NANI 3)JINSI YA KUANZISHA BIASHARA 4)JINSI YA KUKUZA BIASHARA 5)MAMBO MUHIMU ANAYOTAKIWA KUWA NAYO MJASIRIAMALI WA KWELI 6)NA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZENYEWE NAZO NI           Sabuni za mche,sabuni za unga,sabuni za magadi,sabuni za usafi za maji,kufulia ,kunawia  mikono,mishumaa,losheni,shampoo,mafuta ya mgando na aina zote za batiki nk Kitabu kinapatikana kwa bei nafuu sana,niandikie ujumbe whatsup kwa maelezo zaidi kwa namba         0753637565 Au ni...

UTENGENEZAJI WA MIFUKO MBADALA

Image
JINSI YA KUTENGENEZA MIFUKO MBADALA  Kwanza Kabisa Ukitaka kuanza kutengeneza mifuko ya karatas unatakiwa kuwa na vifaa vifuatavyo Jora la karatas Mbao Gundi ya mbao  zinapatikana ktk maduka ya vifaa vya ujenzi Brash kwa ajil ya kupaka Gundi Mkas kwa ajil ya kukatia karatasi Vipimo kwa ajili ya kukata mbao ambazo utazitumia Katika kutengeneza mifuko yako Vifaa Vinapopatika Jora la karatas linauzwa katika Kiwanda cha karatas kilichopo keko nenda hapo utapata kwa Bei rahis wanauza sh 50,000/= kwa Jora Moja Pia hilo Jora ni kubwa Sana hivyo utatengeneza mifuko mingi Sana Kama 5000 hivi Hatua ya kwanza  Chukua vipimo ambavyo nimetuma hapo nenda kwa Fundi seremala Nunua mbao kisha mwambie akukatie hiYo mbao Kulingana na hivyo vipimo ambavyo umempa [11/06, 20:38] Sofiamutashobya84: Bei ya mifuko ya kamba utauza Kulingana na gharama ulizotumia pia utatengeneza Kulingana na Mahitaj yako Ukitaka Mfuko wako uwe na nembo bas utaenda kwa wale wanao p...

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE

JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE UNGA WA LISHE.              Unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. Mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji. Wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa walio kusudiwa kuutumia.Hii ni ili kuweka viini lishe vinavyo endana na mtumiaji. Pia unaweza kutengeneza unga lishe kwa matumizi ya jumla ambao unafaa kutumiwa na mtu yeyote. Unga huo uwe na mchanganyiko wa nafaka zifuatazo: *KANUNI ZA KUANDAA UNGA WA LISHE.* Vifaa =ulezi kg 1 =mahindi yasiyokobolewa kg 1/2 =ngano isiyokobolewa kg 1/2 =karanga kavu ila mbichi 1/2 =soya isiyobanguliwa 1/2. *Njia ya kuandaa.* 1) chukua ulezi wako upete vizuri kwenye ungo. Kisha weka kwenye maji kuupembua. Hakiksha kwamba unaupembua mara nyingi zaidi kwa kutumia maji masafi na chombo cha bati hadi mawe/ mchanga uishe wote kabisa. Kumbuka kwamba ulezi huwa michanga sana. hivyo matumizi ya vi...

JINSI YA KUTENGENEZA KIKOI CHA BATIKI

Image
UTENGENEZAJI WA KIKOI CHA BATIKI       Mahitaji Kitambaa cha batiki Sodium hydrosalfate Caustic Soda Maji Ndoo ya kukorogea rangi Rangi Mkasi Kamba Mask Gloves Jinsi ya kutengeneza 1)Andaa kitambaa cha batiki mita 2 kisha tandika kwenye meza au sakafu 2)Kunja kitambaa kulingana na mauwa unayoyataka na ufunge kwa kamba 3)Baada ya hapo tengeneza rangi kisha chovya kitambaa chako kwenye rangi sehemu ulizokunja na kufunga,kisha kitoe kiache kwa dakika 10-25 4)Fungua kitambaa na ukianike kivulin ,kisha kitoe na ukifue kwa maji barid bila sabuni,halafu anika kivulin mpaka kikauke 5)Baada ya kukauka chukuwa kitambaa,kwenye upana wa kitambaa pemben na pemben chana kidogo kwa mkono na chukuwa sindano na uanze kutoa nyuzi kwa saiz ambayo unataka kikoi chako kiwe,kisha funga nyuzi ulizofumua kisha piga pas kikoi kitakuwa tayar kwa matumiz NB:Unaweza ukafumua nyuzi kwanza ndo ukakunja mauwa ,jinsi utakavyoona inafaa Na kikoi kitakuwa na muonekano kama tunavyo...