Posts

JINSI YA KUTENGENEZA FOUNDANT YA KEKI

NAMNA YA KUANDAA FOUNDANT KWA AJILI YA KEKI Mahitaji . Icing sugar, ilochekechwa vikombe 7 1/2 . Maji ya baridi 1/4 kikombe . Unflavored gelatic kijiko 1 chakula (kwa waislam hakikisha ni halal gelatin) . Glucose 1/2 kikombe . Glycerine kijiko 1 1/2 chakula . Vanilla kijiko 1 NAMNA YA KUTAYARISHA 1. Tia icing uliochekecha katika bakuli kubwa kisha weka kishimo kati 2. Katika kisufuria kidogo tia maji kisha nyunyiza gelatin juu acha ilainike kwa muda wa dk 5. 3. Ipashe moto gelatin ukiwa wakoroga hadi hadi iyeyuke yote , usiache ikachemka. Zima jiko kisha tia glucose na glycerine na koroga vizuri hadi vichanganyike. 4. Tia radha, kisha mimina katika kishimo ulichoweka katika icing yako na changanya hadi icing yote ichanganyike vizuri. 5. Kanda foundant yako katika sehemu ya kukandia au sinia hadi iwe smooth na soft, ukiona inanata ongeza icing kidogo. 6. Fanya duara kisha zungusha vizuri na plastic na tia katika container lenye mfuniko. Usiweke katika fridge tu...

JINSI YA KUPIKA KEKI

UPIKAJI WA KEKI JIFUNZE KUPIKA KEKI KWA JIKO LA MKAA. Upishi wa keki ni mwepesi sana endapo mpishi atazingatia vitu muhimu vinavyohitajika pamoja na hatua zake. MAHITAJI - unga vikombe2 -Maziwa kikombe1 -Sukari kikombe1 -Siagi kikombe1 -Baking powder vijiko vidogo 2 -Mayai 6 yakienyeji -Vanilla matone mawili au limao 1 Zingatia Limao au vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye keki.kwahiyo ukikosa vanilla pia waweza kutumia maganda ya limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda. HATUA ZA UPIKAJI -Andaa bakuli lako la udongo na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako -Chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari. -Koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa -Weka yai moja baada ya jingine huku ukiendelea kuukoroga mchanganyiko wako bila kupumzisha mkon...

UTENGENEZAJI WA SABUNI YA KUOSHEA VYOMBO YA MAJI

SABUNI  KUOSHEA VYOMBO YA MAJI MAHITAJI SULPHONIC ACID NUSU LITA SODA ASH ROBO KILO SLESS/UNGAROL  NUSU LITA GRYCELINE VIJIKO 5 VYA CHAKULA RANGI KIJIKO 1 CHUMVI ROBO TATU TIGNA VIJIKO 5 VYA CHAKULA PAFYUM LAINI YA MATUNDA( APPLE NK) CDE VIJIKO MILS 250. MAJI SAFI LITA 20. *KUTENGENEZA:* CHUKUA MAJI LITA 2O GAWA MARA MBILI, ILI KUPATA LITA 10 KUM, KISHA LITA KUMI YA MOJA TIA TIGNA VIJIKO 5 KOROGA HADI KUPATA UJI MZITO KIASI KISHA WEKA KANDO. WEKA SULPHONIC ACID KATIKA CHOMBO KISHA TIA SODA ASH, KOROGA VYEMA HADI KUPATA KITU KAMA UGALI, HAKIKISHA UNAKOROGA VYEMA KWA MUDA WA DAKIKA 20 BILA KUPUMZIKA. KISHA ONGEZA   SLESS KOROGA VYEMA KWA DAKIKA10 KISHA TIA MAJI LITA 10    AMBAYO HAYANA TIGA, KOROGA HADI ULE UGALI  UISHE WOTE, ( TUMIA CHELEWA SAFI KURAHISISHA), BAADA YA HAPO TIA YALE MAJI YENYE TIGNA, KOROGA VYEMA KISHA ONGEZA RANGI, GRYCELINE,  CDE, ENDELEA KUKOROGA KISHA ONGEZA  CHUMVI ROBO TATU, KOROGA...

JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA ALOVERA

Image
JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA ALOVERA KWA NJIA RAHISI KABISA UKIWA NYUMBANI KWAKO SHAMPOO YA ALOVERA MAHITAJI UTE SOFT WA ALOVERA VIJIKO5 CDE MILS 50+ GRYSELINE VIJIKO5 FORMALINE VIJIKO 5 ROJO LA ALOVERA VIJIKO 5 TIGNA YA 3000 GAWA UTUMIE NUSU YAKE SLESS LITA 1 PAFYUM RANGI MAJI LITA 30 HATUA YA O1: LOWEKA TIGNA KTK MAJI LITA15, KOROGE HADI ILETE UJI MZITO LOWEKA SLESS KTK MAJI LITA 15 KOROGA HADI IYEYUKE YOTE KISHA CHANGANYA MIKOROGO HIYO MIWILI๐Ÿ‘†๐Ÿฟ๐Ÿ‘†๐Ÿฟ๐Ÿ‘†๐Ÿฟ HATUA YA O3: WEKA GRYSELINE,   RANGI, KOROGA VIZURI KISHA WEKA VIJIKO 5 VYA ROJO YA ALOVERA ILIYO SOFT KOROGA KISHA WEKA FORMALINE KOROGA KISHA WEKA CDE KOROGA NA MWISHO TIA PAFYUM KOROGA KISHA IACHE ITULIE BAADA YA SAA 24 PAKI KTK CHOMBO. NB: SHAMPOO ITAKUWA NZITO SANA  USIONGEZE MAJI. KWA MAFUNZO ZAIDI JUU YA UTENGENEZAJI WA NIDHAA HIZI NITUMIE UJUMBE WHATSUP /AU NIPIGIE KWA NA NAMBA HIZI 0753637565/0714793386 UNAKARIBISHWA

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI YA KUFUNGA KWA KAMBA DIE_TIE

Image
JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI YA KUFUNGA KWA KAMBA(DIE&TIE)  Jinsi ya kutengeneza batiki ya kufunga kwa kamba hatua kwa hatua๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Andaa kitambaa cha batiki kisha kitandike juu ya meza au sakafu  kisha kunja kitambaa hicho kulingana na aina ya mauwa unayoyataka kisha kifunge kamba kulingana na jinsi ulivyokunja Chovya kwenye rangi kitambaa hicho kulingana na mauwa unayoyataka Kiache kwa dakika 5-10 kisha fungua kamba anika kivulin kwa dakika 5-10 Fua kitambaa hicho anika kivulin had kikauke  kisha piga pas na kitakuwa tayar kwa matumiz Baadhi ya mauwa yatokanayo na batiki ya kufunga kwa kamba: Nyota Kashata Sambusa Mji kati Misalaba Misalaba ndani ya drafti Miraba Mbavu    Malighafi zinazotumika kutengeneza batik Kitambaa kiwe cha pamba Sodium hydrosulfet Caustic soda Rangi Mkas Kamba Maski Gloves Jinsi ya kuchanganya rangi Andaa chombo cha plastic kisha tia Costic soda vijiko vitatu vya chakula Sodium hydrosulfet vi...

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI KWA NJIA RAHISI UKIWA  NYUMBANI KWAKO Mafuta  ya  nazi Ni  bidhaa  ambayo  hutokana  na  nazi  hufanya  kazi  nyingi  sana  mwilini ikiwemo kuondo  makovu  na  mabaka  na  kuacha  mwili  ukiwa  laini  na  bila  mafuta  na hutumika sana mara  nyingi  katika kutengenezea sabuni  za  vipande. MAHITAJI 1: Sufuria hutumika kwa ajili  ya kupikia mafuta yako  jikoni. 2: Blenda  au  kibao cha  mbuzi  kwa  ajili  ya  kukunia  nazi  zako  ili  uweze  kupata tuwi la nazi. 3: Chujio  kwa  ajili  ya  kuchuja  machicha  ya  nazi  na  kuweza  kupata  tuwi  likiwa safi  kabisa. 4: Jiko  lenye  moto  hili  hutumika  kwa  ajili  ya  kuchemsha...

JIANDAE KUFANYA MAMBO MAKUBW

Image
Je wewe ni Mjasiriamali mwenye ndoto za kufika mbali zaidi kwa kuteka masoko na kukabiliana na  ushindani wa kibiashara katika utengenezaji wa  bidhaa bora zenye viwango?? Je, unatamani kuuza bidhaa zako kwenye supermarket na mitandao ya kijamii na hujui nini cha kufanya Je, unatamani kujifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa za viwandani kama vile Sabuni za miche,sabuni za usafi za maji Dawa za chooni Jiki Shampoo Losheni Mafuta ya mgando Sabuni za magadi(mawingu) Sabuni ya unga Tiles cleaner Sabuni za kuogea Hand wash gel Mshumaa Sabuni za maji za  kufulia Sabuni ya kusafishia masinki yaliyofubaa. Chaki Mishumaa Aina zote za batiki nk Kitabu hiki ni jibu lako jipatie nakala yako ya Kitabu cha MJASIRIAMALI MJASIRIAMALIWA   kina mbinu zote muhimu za kukufikisha unapotamani kuwa. Ndani yake utaweza kuzitambua malighafi moja baada ya nyingine, jinsi zinavyotengenezwa, matumizi yake na jinsi ya kujilinda. Pia utaweza kujifunza ...