Posts

Jinsi ya kutengeneza tomato sauce

Image
Je ungependa kujifunza zaidi utengenezaji wa tomato sauce please call me/ whatsup 0714793386 maelekezo
Image
Kwa mafunzo jinsi ya kutengeneza bidhaa mbali mbali za viwandan ,kupata kitabu chenye mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa hizo hatua kwa hatua,kudarizi vitambaa pamoja na mashuka Bofya link hii https://chat.whatsapp.com/JLMFaQBsNbuIBc137r43cD Au Call/whatsup me 0714793386 kwa maelekezo zaidi Asante
Image
Katika msimu huu wa sikukuu kitabu hiki kinapatikana kwa bei ya punguzo sawa na bure kabisa maliza mwaka na fursa mkononi mwako Ndani ya kitabu hiki utajifunza utengenezaji wa bidhaa mbali mbali za viwandan kama Sabuni za mche Sabuni za magadi Sabuni za unga Sabuni za usafi za maji Sabuni kufulia Sabuni za kunawia mikono Sabuni za kuoshea vyombo Mishumaa Chalk Mafuta ya magadi Shampoo Losheni Batiki aina zote Mapishi ya aina mbali mbali Ukipata kitabu hiki umepata kiwanda chako Jinsi ya kupata kitabu hiki         Call/whatsup me 0753637565/0714793386    Karibu sana

Darasa bure

Image
Je ungependa kujifunza utengenezaji wa bidhaa mbali mbali za viwandan kama sabuni za usafi za maji,sabuni za mche,sabuni za magadi,sabuni za unga,shampoo,losheni,dawa za madoa,chaki,mishumaa,mafuta ya mgando,batiki kama kitenge,batiki za mshumaa,na aina nyingine zote nk Tunatoa mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa hizo kwa wiki mzima ,darasa ni bure kabisa,wahi kabla ofa haijaisha ujipatie ujuzi wa kujiajiri mwenyewe Ili kuweza kujiunga na darasa letu bofya link hii https://chat.whatsapp.com/BDjAe4m3x3GBc0wEPoFgWW Pia utapata kitabu chenye mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa hizo hatua kwa hatua kwa bei poa kabisa Karibu sana

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MLONGE

SABUNI YA MLONGE: MAHITAJI 1:JUISI YA MAJANI MABICHI YA MLONGE ROBO LITA IWE NZITO.( ROJO) 2: CAUSTIC SODA  NUSU KILO 3: MAFUTA ( MISE, MBOSA, ALIZETI, MAWESE NK) LITA MOJA 4: PAFYUMU LEMON 5: MOULD) UMBO ------------------- JINSI YA KUTENGENEZA: HATUA YA 01: LOWEKA CAUSTIC SODA ½ KILO KTK MAJI LITA 2½ KISHA KOROGA KUELEKEA UPANDE MMOJA KWA MUDA WA NUSU SAA KISHA FUNIKA ACHA KWA MASAA 24.( SOLUTION) HATUA YA 02:  CHUKUA ROJO LA MAJANI YA MLONGE ROBO CHUJA VYEMA IWE SOFTI SANA KISHA MIMINA KTK MAFUTA LITA MOJA,KOROGA KWA DAKIKA 10 KISHA HATUA 03:  CHUKUA SOLUTION( CAUSTIC SODA NUSU LITA  ULIYOILAZA KWA MASAA24 , MIMINA KTK MAFUTA  CHANGANYA NA ROJO KISHA KOROGA KUELEKEA UPANDE MMOJA HADI IWE NZITO KAMA UJI , WEKA PAFYUM NUSU KIJIKO  CHA CHAI ,KOROGA DAKIKA 5, KISHA MIMINA KTK UMBO( MOLD) D ULIYOIANDAA. BAADA YA MASAA 24 ITOE KTK MOULD IWEKE SAKAFUNI ILI IZIDI KUKAUKA VYEMA. .-------------------.

JINSI YA KUTENGENEZA FOUNDANT YA KEKI

NAMNA YA KUANDAA FOUNDANT KWA AJILI YA KEKI Mahitaji . Icing sugar, ilochekechwa vikombe 7 1/2 . Maji ya baridi 1/4 kikombe . Unflavored gelatic kijiko 1 chakula (kwa waislam hakikisha ni halal gelatin) . Glucose 1/2 kikombe . Glycerine kijiko 1 1/2 chakula . Vanilla kijiko 1 NAMNA YA KUTAYARISHA 1. Tia icing uliochekecha katika bakuli kubwa kisha weka kishimo kati 2. Katika kisufuria kidogo tia maji kisha nyunyiza gelatin juu acha ilainike kwa muda wa dk 5. 3. Ipashe moto gelatin ukiwa wakoroga hadi hadi iyeyuke yote , usiache ikachemka. Zima jiko kisha tia glucose na glycerine na koroga vizuri hadi vichanganyike. 4. Tia radha, kisha mimina katika kishimo ulichoweka katika icing yako na changanya hadi icing yote ichanganyike vizuri. 5. Kanda foundant yako katika sehemu ya kukandia au sinia hadi iwe smooth na soft, ukiona inanata ongeza icing kidogo. 6. Fanya duara kisha zungusha vizuri na plastic na tia katika container lenye mfuniko. Usiweke katika fridge tu...

JINSI YA KUPIKA KEKI

UPIKAJI WA KEKI JIFUNZE KUPIKA KEKI KWA JIKO LA MKAA. Upishi wa keki ni mwepesi sana endapo mpishi atazingatia vitu muhimu vinavyohitajika pamoja na hatua zake. MAHITAJI - unga vikombe2 -Maziwa kikombe1 -Sukari kikombe1 -Siagi kikombe1 -Baking powder vijiko vidogo 2 -Mayai 6 yakienyeji -Vanilla matone mawili au limao 1 Zingatia Limao au vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye keki.kwahiyo ukikosa vanilla pia waweza kutumia maganda ya limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda. HATUA ZA UPIKAJI -Andaa bakuli lako la udongo na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako -Chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari. -Koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa -Weka yai moja baada ya jingine huku ukiendelea kuukoroga mchanganyiko wako bila kupumzisha mkon...