Posts

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI YA BLEACH

  Jinsi ya kutengeneza:     Mahitaji  Andaa kitambaa cha batiki kisha kitundike kwenye kamba au kitandike kwenye meza au majan 2)Changanya bleach na maji kwenye uwiano ulio sawa kisha itie kwenye chupa ya kunyunyuzia,na unyunyuzie kwenye kitambaa had kienee kote 3)Kiache kwa dakika 5-10 kisha kitoe na ukifue halafu kianike kwenye kivuli hadi kikauke ,kisha piga pas hapo ni tayar kwa matumiz

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI YA KUFULIA

Sabuni ya maji kufulia Mahitaji Salifoniki acid kilo 1 Sodash robo kilo Maji lita 20 Slesi robo kilo C.D.E vijiko vitano vya chakula Gricelini vijiko 15 vya chakula Chumvi ya viwandan kilo 1 C.M.C vijiko vitano vya chakula Pafumu kijiko 1 cha chakula Rangi kijiko 1 chai     Hatua Andaa ndoo ya plastik kisha weka salifonic acid,ikifuatiwa na sodash iliyochanganywa na maji na uanze kukoroga,weka maji na ukoroge mpaka vichanganyikane vizur 2)wakati ukiendelea kukoroga weka sles,c.d.e na gricelin na uendelelee kukoroga 3)Tia chumvi na uikoroge mpaka ilainike vixuri kisha weka c.m.c kidogo kidogo kwa kunyunyuzia huku ukiendelelea kukoroga,kisha weka rangi na perfumu na uendelelee kukoroga kwa dakika 10-15 4)Baada ya hapo iache kwa saa 24 na itakuwa tayar kwa matumiz NB:Kazi za malighafi C.d.e kulaininisha maji Gricelin kulainisha nguo Chumvi kutia uzito C.m.c kuongeza uzito jinsi unavyotaka

UTENGENEZAJI WA DAWA YA MADOA

Hellowwww Utengenezaji wa dawa ya madoa    Mahitaji:  1)Maji 20 2)Calcium hypoklorite nusu kilo 3)Sodash kilo 1  Hatua Andaa ndoo ya plastick kisha weka maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja 2)Weka mahitaji yote na uendelee kukoroga kwa 10 kisha iache kwa siku tatu 3)Siku ya tatu ichuje na itakuwa tayar kwa matumizi NB:Hakikisha wakat wa kukoroga usibadilishe mwelekeo Asante sana usiache kutembelea blog hii

JINSI YA KUDARIZI

JIFUNZE JINSI YA KUDARIZ Je ungependa kujifunza jinsi ya kudarizi vitambaa vya makochi,mashuka,foronya za kitandani pamoja na kwenye makochi nifuatilie katika masomo yangu hatua kwa hatua  ili uweze kujifunza Lakini tutaanza na kujifunza jinsi ya kudarizi vitambaa           MAHITAJI 1)Mashine ya kudarizi 2)Kitambaa 3)Nyuzi za rangi 4)Binding/au urembo wa less 5)Tape measure ya kupimia kitambaa 6)Karatasi iliyochorwa mauwa 7) Cabornpaper 8)Ringi ya kubana kitambaa wakati wa kudariz Hayo ndio mahitaji muhimu yanayotakiwa unataka kudariz kitambaa na kama yanavyoonekana hapo juu kwenye picha       Jinsi ya kudarizi hatua kwa hatua 1)Andaa kitambaa ,kitambaa kinatakiwa kiwe cha tetron ndio kifaa zaidi kwa kudarizi ,kisha pima kulingana na zaiz ya kitambaa unachotaka ,aidha ni kidogo au kikubwa ,kwa kawaida kikubwa kinakuwa ni mita moja ambayo ni cm 100 urefu na upana ulingane  au utakavyopenda mwenyewe,na kidogo  cm 16...
Halloow habar   Natumai ni wazima    Leo ningependa kushare nanyi mada muhimu sana katika ujasiriamali :  Jambo la kwanza ujasiriamali ni nn? Kwa wanauchumi wote wanamwona mjasiriamali ni mtu ambaye yupo tayar kuthubutu na kufanya jambo la kutatua matatizo/tatizo la jamii inayomzunguka. Kuna mambo makuu matano ambayo mjasiriamali anatakiwa kuwa nayo nayo ni : 1)awe na wazo 2) awe na lengo 3)awe na uthubutu 4)awe mbunifu 5)awe mtu wa kujifunza kwa kusoma vitabu,semina mbalimbali na kujifunza kwa waliofanikiwa .  Hayo ndo mambo muhimu mjasiamal anayotakiwa kuwa nayo kabla hajaanza biashara yake  Kwa hayo na mengine mengi yanayohusiana na ujasiriamal ,      Coment namba yako hapa nitakuad kwa group yangu ya watsup huko nitakufundisha mambo mengi sana ili uweze kufanya biashara yenye mafanikio     Na usiache kutembelea blog hii       Ni mm mwenye kusaka maendeleo yako           ...

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJASIRIAMALI

Image
Karibuni tena kwenye muendelezo wa mada inayohusiana na ujasiriamali ,na ni mambo gan anayotatakiwa kujifunza kabla hajaamuua kuwa mjasiriamal ,    Kuna mambo 7 muhimu anayotakiwa kujifunza kabla ya ujasiriamal nayo ni : 1)Jinsi ya kuwasiliana na watu wajue nn unafanya 2)Ujifunze jinsi ya kuuza bidhaa yako ww mwenyewe 3)Ujifunze jinsi ya kuwahudumia wateja wako 4)Jinsi ya kutunza muda wako 5)Jinsi ya kubajet pesa au ulichonacho(tumia kidogo ili upate kikubwa 6)Jinsi ya kuongeza mtandao wako 7)Chagua marafiki(punguza marafiki wasiokuwa na manufaa kwako   Vivyo ndivyo vigezo muhimu sana ww kama mjasiriamali            By sofia mutashobya

JIFUNZE NIDHAMU YA PESA

Image
MAMBO MATANO YATAKAYOKUSAIDIA KUWA NA NIDHAMU JUU YA PESA    Fuatana nami twende tukajifunze maana hili eneo ni changamoto kwa walio wengi  wetu na ndipo makosa makubwa yanapofanyika na tunaishia kulalamika tyuu           Mambo muhimu na ya msingi kabisa 1)Kubali tatizo ulilonalo kuwa ni lako mwenyenyewe,kiri tatizizo la kutokuwa na matumizi sahihi ya mara tuu upatapo pesa  ,halafu tafuta suluhisho la tatizo lako ufanye nini cha kukuwezesha kuachana na matumizi mabovu ya pesa 2)Jifunze kuweka malengo ya maisha au kile ambacho unakifanya kifanikiwe na uwe na nidhamu nacho na kikifanya kiwe cha kwanza kwako kuliko mambo mengine na ukipata pesa peleka kwenye malengo makubwa kwanza,mfano umejiwekea malengo baada miez mitano unataka ujenge nyumba,au nifungue biashara  nk hakikisha unapopata pesa ipeleke kwenye ujenz,au biashara uliyokusudia kwanza   3)Kuwa na mpango mkakati( plani)Hata kama hauna pesa kwa muda huo jiweke mkak...